Bible Explorer Pata programu

Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Mithali 3:5–6

Mstari wa Biblia · ULB

Mithali 3:5–6

5Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote na wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe,

6katika njia zako zote mkiri Yeye na yeye atayanyosha mapito yako.

Soma sura nzima: Mithali 3

Katika muktadha

2maana ziatakuongezea siku zako na miaka ya maisha yako na amani.

3Usiache utiifu wa agano na uaminifu viondoke kwako, vifunge katika shingo yako, viandike katika vibao vya moyo wako.

4Ndipo utapata kibali na heshima mbele Mungu na wanadamu.

5Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote na wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe,

6katika njia zako zote mkiri Yeye na yeye atayanyosha mapito yako.

7Usiwe mwenye busara machoni pako mwenyewe; mche Yehova na jiepushe na uovu.

8Itakuponya mwili wako na kukuburudisha mwili wako.

9Mheshimu Yehova kwa utajiri wako na kwa malimbuko ya mazao kwa kila unachozalisha,

Mithali 3

Kwa Kiingereza

Berean Standard BibleProverbs 3:5–6Trust in the LORD with all your heart, and lean not on your own understanding; in all your ways acknowledge Him, and He will make your paths straight.

Marejeo mtambuka

Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.

Zab 37:5Umkabidhi njia zako Yahwe; uamini katika yeye, naye atatenda kwa niaba yako.
Yer 17:7–8Lakini mtu anayemtegemea Bwana amebarikiwa, kwa kuwa Bwana ndiye tumaini lake. Kwa maana atakuwa kama mmea karibu na maji kando ya mto; mizizi yake itaenea. Hawezi kuona joto likija, kwa kuwa majani yake yatakuwa mabichi. Kisha mwaka wa ukame hawezi kuwa na wasiwasi, wala hataacha kuzalisha matunda.
Mit 28:26Yule anayeutumaini moyo wake mwenyewe ni mpumbavu, bali anayekwenda kwa hekima atajilinda mbali na hatari.
Zab 37:3Uwamini Mungu na kufanya yaliyo mema; uishi katika nchi na uongezeke katika imani.
Zab 62:8Mwaminini Mungu wakati wote, ninyi watu; mimina moyo wako mbele zake; Mungu ni kimbilio salama kwa ajili yetu. Selah
Isa 26:3–4Akili mlionayo, mtamuhifadhi yeye katika amani kamili, maana anawamini ninyi. Mwamini Yahwe daima; maana Yaha, Yahwe, ni mwamba wa milele.
Isa 12:2Ona Bwana ni wokovu wangu; nitamwamini na sitakuwa na hofu, kwa Yahwe, ndio, Yahwe ni nguvu yangu na wimbo wangu. Amekuwa wokovu wangu.''
Zab 37:7Uwe kumya mbele za Yahwe na umsubiri yeye kwa uvumilivu. Usikasirike ikiwa kuna mtu anafanikiwa kwa kile afanyacho, au afanyapo njama za uovu.

Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki