Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Mithali 16:3
Mstari wa Biblia · ULB
Mithali 16:3
Kabidhi kwa Yehova kazi zako zote na mipango yako itafanikiwa.
Katika muktadha
1Mipango ya moyo ni ya mtu, bali Yehova hutoa jawabu kutoka kwenye ulimi wake.
2Njia zote za mtu ni safi kwenye macho yake mwenyewe, bali Yehova huipima mioyo.
3Kabidhi kwa Yehova kazi zako zote na mipango yako itafanikiwa.
4Yehova alifanya kila kitu kwa kusudi lake, hata waovu kwa ajili ya siku ya taabu.
5Yehova anamchukia kila mtu mwenye moyo wa majivuno, ingawa wanasimama imara, hawakosi kupata adhabu.
6Kwa agano la uaminifu na udhamini uovu husafishwa na kwa kumcha Yehova watu hujitenga na ubaya.
Kwa Kiingereza
Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Kisha ufurahi mwenyewe katika Yahwe, naye atakupa matamanio ya moyo wako. Umkabidhi njia zako Yahwe; uamini katika yeye, naye atatenda kwa niaba yako.katika njia zako zote mkiri Yeye na yeye atayanyosha mapito yako.Umtwike mizigo yako Yahwe, naye atakusaidia; yeye hataruhusu mtu mwenye haki kuyumbayumba.Msijisumbue kwa jambo lolote. Badala yake, fanyeni mambo yenu yote kwa njia ya kusali, kuomba na kushukuru. Na mahitaji yenu yajulikane kwa Mungu.Mwekeeni fadhaa zenu juu yake, kwa sababu anawajali.Lakini pia utatamka lolote, nawe utapewa; nuru itaangaza maishani mwako.Lakini kwa mimi, ningemrudia Mungu mwenyewe; kwake ningeaminisha kusudi langu -Yesu akawaambia wanafunzi wake, Kwa hiyo nawaambia msihofu juu ya maisha yenu—ya kuwa mtakula nini au juu ya miili yenu—ya kuwa mtavaa niniVyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki