Bible Explorer Pata programu

Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Mithali 15:1

Mstari wa Biblia · ULB

Mithali 15:1

Jawabu la upole huondoa ghadhabu, bali neno la ukatili huchochea hasira.

Soma sura nzima: Mithali 15

Katika muktadha

1Jawabu la upole huondoa ghadhabu, bali neno la ukatili huchochea hasira.

2Ulimi wa watu mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha wapumbavu humwaga upuuzi.

3Macho ya Yehova yapo kila mahali, yakiwatazama juu ya waovu na wema.

4Ulimi unaoponya ni mti wa uzima, bali ulimi wa udanganyifu huvunja moyo.

Mithali 15

Kwa Kiingereza

Berean Standard BibleProverbs 15:1A gentle answer turns away wrath, but a harsh word stirs up anger.

Marejeo mtambuka

Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.

Mit 10:12Chuki huchochea mafarakano, bali upendo hufunika juu ya makwazo yote.
Mit 25:15Kwa uvumilivu mtawala anaweza kushawishiwa na ulimi raini unaweza kuvunja mfupa.
Mit 15:18Mtu mwenye hasira huchochea mabishano, bali mtu ambaye hukawia kukasirika hutuliza ugomvi.
Mit 29:22Mtu mwenye hasira huchochea ugomvi na bwana mwenye hasira sana hutenda dhambi nyingi.
Mit 28:25Mtu mwenye tamaa huchochea mafarakano, bali anayemtumaini Yehova atafanikiwa.

Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki