Mwanzo › Biblia inasema nini › Kumtumaini Mungu
Imani
Biblia inasema nini kuhusu Kumtumaini Mungu
Aya ambazo wasomaji hurejea mara nyingi zaidi kwa mada hii (10), zimenukuliwa kikamilifu kutoka Swahili Unlocked Literal Bible.
Mit 3:5
Mtegemee Yehova kwa moyo wako wote na wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe,Zab 37:5
Umkabidhi njia zako Yahwe; uamini katika yeye, naye atatenda kwa niaba yako.Zab 9:10
Wale wakujuao jina lako wanaamini katika Wewe, kwa ajili yako, Yahweh, usiwaache wale wakutafutao.Zab 56:3–4
Wakati nina woga, nitaweka imani yangu katika wewe. Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu - nimeweka imani yangu katika Mungu; sitaogopa; mtu wa kawaida atanifanya nini?Zab 28:7
Yahwe ni nguvu yangu na ngao yangu; moyo wangu wa humwamini yeye, na ninasaidiwa. Kwa hiyo moyo wangu hufurahia sana, nami nitamsifu yeye kwa kuimba.Rum 15:13
Sasa Mungu wa tumaini awajaze na furaha yote na amani kwa kuamini, ili kwamba muweze kuzidi katika tumaini, kwa nguvu ya Roho Mtakatifu.Zab 46:10
Mkae kimya na mjue kuwa mimi ni Mungu; nitainuliwa juu ya nchi.Zab 112:7
Haogopi habari mbaya; ni jasiri, akimtumainia Yahwe.Yos 1:9
Je si mimi niliyekuagiza? Uwe hadori na jasiri! Usiogope. Usivunjike moyo. Yahweh Mungu wako yuko pamoja nawe kila uendeko.Mit 3:6
katika njia zako zote mkiri Yeye na yeye atayanyosha mapito yako.Hii ni mistari ambayo wasomaji huirudia mara nyingi kwa mada hii — si fundisho juu yake. Soma kila mmoja katika sura yake.
Vyanzo
Aya za kila mada na mpangilio wake: data za mada za OpenBible.info, kwa kura za wasomaji: OpenBible.info · CC BY 4.0
Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0