Watakatifu: 49
Watakatifu wenye ikoni
WaorthodoksiMfiadini Agatha18 Februari (5 Februari (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiAskofu Mtakatifu Ambrosio, Askofu wa Milano20 Desemba (7 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Andrea, Aliyeitwa wa Kwanza13 Desemba (30 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtakatifu Mtawa Antoni Mkuu30 Januari (17 Januari (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Aretha na pamoja naye wafiadini 42996 Novemba (24 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtakatifu Mtawa Benedikto wa Nursia27 Machi (14 Machi (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Elisha27 Juni (14 Juni (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Eliya2 Agosti (20 Julai (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Filipo27 Novemba (14 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Filipo, mmoja wa mashemasi saba24 Oktoba (11 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Habakuki15 Desemba (2 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMwenye Haki Ayubu, aliyeteseka sana19 Mei (6 Mei (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Hosea30 Oktoba (17 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Isaya22 Mei (9 Mei (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini wa Kikasisi Dionisio Mwareopago, Askofu wa Athene16 Oktoba (3 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini wa Kikasisi Ignatio Mbeba Mungu2 Januari (20 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini wa Kikasisi Kornelio, akida26 Septemba (13 Septemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Kristoforo22 Mei (9 Mei (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiKuwekwa wakfu kwa kanisa la Mfiadini Mkuu Georgi huko Lida16 Novemba (3 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume, Mfiadini wa Kwanza na shemasi mkuu Stefano9 Januari (27 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Lukia26 Desemba (13 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMariamu Magdalene, mwanamke aliyechukua manukato, Sawa na Mitume4 Agosti (22 Julai (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Mathiya22 Agosti (9 Agosti (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Mkuu Barbara na Mfiadini Yuliana17 Desemba (4 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Mkuu Demetrio wa Thesalonike8 Novemba (26 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Mkuu Ekaterina7 Desemba (24 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Mkuu Marina (Margareta)30 Julai (17 Julai (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMfiadini Mkuu na Mponyaji Panteleimoni9 Agosti (27 Julai (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Musa, aliyemwona Mungu17 Septemba (4 Septemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume na Mwinjilisti Luka31 Oktoba (18 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume na Mwinjilisti Marko8 Mei (25 Aprili (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume na Mwinjilisti Mathayo29 Novemba (16 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume na Mwinjilisti Yohana Mwanatheolojia21 Mei (8 Mei (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiWafiadini Nazario, Gervasio, Protasio na Kelso27 Oktoba (14 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiAskofu Mtakatifu Nikolao, Askofu Mkuu wa Mira ya Likia, mtenda miujiza19 Desemba (6 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Obadia2 Desemba (19 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiWafiadini wa Roma: Laurenti, shemasi mkuu, Sisto, papa, Felisisimo na Agapito, mashemasi, na Romano23 Agosti (10 Agosti (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Samweli2 Septemba (20 Agosti (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiWafiadini Sebastiani na wenzake: Nikostrato (mtunza hazina), mke wake Zoe, Kastorio, Trankilino, padri, na wanawe Markelino na Marko, mashemasi, Klaudio, mkuu wa magereza, mwanawe Simforiano, ndugu yake Viktorino, Tiburtio na Kastulo31 Desemba (18 Desemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Simoni Zelote23 Mei (10 Mei (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Tomaso19 Oktoba (6 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiWafiadini Wana wa Mfalme Waaminifu Boris na Gleb, walioitwa Romano na Daudi katika Ubatizo mtakatifu6 Agosti (24 Julai (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMitume watukufu na wa kusifiwa sana, viongozi wa Mitume, Petro na Paulo12 Julai (29 Juni (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiWenye Haki Yoakimu na Ana, wazazi wa Mama wa Mungu22 Septemba (9 Septemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Yakobo wa Alfayo22 Oktoba (9 Oktoba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Yakobo wa Zebedayo13 Mei (30 Aprili (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiAskofu Mtakatifu Yohana Krisostomo, Askofu Mkuu wa Konstantinopoli26 Novemba (13 Novemba (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiMtume Yuda, ndugu wa Bwana2 Julai (19 Juni (kalenda ya Juliani))
WaorthodoksiNabii Zakaria na Mwenye Haki Elisabeti, wazazi wa Mtakatifu Yohana Mtangulizi18 Septemba (5 Septemba (kalenda ya Juliani))

