Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › 1 Wakorintho 15:33
Mstari wa Biblia · ULB
1 Wakorintho 15:33
Msidanganywe: “Makundi mabaya huharibu tabia njema.
Soma sura nzima: 1 Wakorintho 15
Katika muktadha
30Na kwa nini tuko katika hatari kila saa?
31Kaka na dada zangu, kupitia kujisifu kwangu katika ninyi, ambayo ninayo katika Kristo Yesu Bwana wetu, natangaza hivi: nakufa kila siku.
32Inanifaidia nini, katika mtazamo wa wanadamu, kama nilipigana na wanyama wakali huko Efeso, kama wafu hawafufuliwi? “Acha basi tule na kunywa, kwa kuwa kesho tunakufa.”
33Msidanganywe: “Makundi mabaya huharibu tabia njema.
34“Muwe na kiasi! muishi katika haki! msiendelee kutenda dhambi. Kwa kuwa baadhi yenu hamna maarifa ya Mungu. Nasema hivi kwa aibu yenu.
35Lakini mtu mwingine atasema, “Jinsi gani wafu wanafufuliwa? Nao watakuja na aina gani ya mwili?”
36Wewe ni mjinga sana! Kile ulichopanda hakiwezi kuanza kukua isipokuwa kimekufa.
Kwa Kiingereza
Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Tembea pamoja na watu wenye hekima nawe utakuwa na hekima, bali rafiki wa wapumbavu atateseka.Yesu aliwajibu na kuwaambia, “Iweni makini kwamba asije mtu akawapotosha.Majivuno yenu si kitu kizuri. Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima?Acheni njia zenu za kijinga, na mkaishi; tembeeni katika njia ya ufahamu.Mtu yote asikudanganye kwa maneno matupu, kwa sababu ya mambo haya hasira ya Mungu inakuja juu ya wana wasiotii.Msidanganyike. Mungu hadhihakiwi. Kila apandacho mtu, ndicho atakachovuna pia.Jiepushe na majadiliano ya kidunia, ambayo huongoza kwa zaidi na zaidi ya uasi. Majadiliano yao yatasambaa kama donda ndugu. Miongoni mwao ni Himenayo na Fileto. Hawa ni watu walioukosa ukweli. Wanasema ya kuwa ufufuo tayari umishatokea. Wanapindua imani ya baadhi ya watu.Hamjui kwamba wasio haki hawataurithi ufalme wa Mungu? Msiamini uongo. Waasherati, waabudu sanamu, wazinzi, wafiraji, walawiti,Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki