Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Mithali 29:11
Mstari wa Biblia · ULB
Mithali 29:11
Mpumabavu huonyesha hasira yake, bali mtu mwenye busara huishikilia na kujituliza mwenyewe.
Katika muktadha
8Mwenye dhihaka huutia moto mji, bali wale wenye busara huigeuza ghadhabu.
9Mtu mwenye busara anapojadiliana na mpumbavu, hughadhabika na kucheka, hakutakuwa na utulivu.
10Mkatili humchukia mwenye ukamilifu na hutafuta maisha ya mwenye haki.
11Mpumabavu huonyesha hasira yake, bali mtu mwenye busara huishikilia na kujituliza mwenyewe.
12Kama matawala atazinagatia uongo, maafisa wake wote watakuwa waovu.
13Mtu masikini na mkandamizaji wanafanana, maana Yehova huyapa nuru macho yao wote.
14Kama mfalme atamhukumu masikini kwa uaminifu, kiti chake cha enzi kitaimarishwa milele.
Kwa Kiingereza
Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Busara humfanya mtu achelewe kukasirika na utukufu wake ni kusamehe kosa.Mpumbavu huonyesha hasira yake papo hapo, bali asiyejali tusi ni mwenye busara.Msimwamini kila jirani; msimuweke kiongozi katika rafiki yeyote. Kuweni makini kuhusiana na kile msemacho hata kwa mwanamke ambaye adanganyaye kwenye mikono yenu.Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki