Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Zaburi 119:105
Mstari wa Biblia · ULB
Zaburi 119:105
Neno lako ni taa ya mguu miguu yangu na mwanga wa njia yangu.
Katika muktadha
102Sijaenda kinyume na amri zako za haki, kwa maana wewe umenifundisha.
103Ni jinsi gani maneno yako ni matamu kwenye majaribu yangu, naam, matamu kuliko asali kinywani mwangu!
104Kupitia maagizo yako ninapata utambuzi; kwa hiyo kila njia isiyo ya kweli.
105Neno lako ni taa ya mguu miguu yangu na mwanga wa njia yangu.
106Nimeapa na nimethibitisha, kuwa nitazitii amri za haki yako.
107Nimeteswa sana; uniweke hai, Yahwe, kama ulivyoahidi katika neno lako.
108Yahwe, tafadhali pokea dhabihu yangu ya hiari ya kinywa changu, na unifundishe amri zako za haki.
Kwa Kiingereza
Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Maana amri ni taa, na mafundisho ni nuru; kinga za kuadilisha za njia ya uzima.Oh, tuma nuru yako na kweli yako ziniongoze. Ziniletee mlima wako mtakatifu na makao yako.Kwa kuwa wewe huipa mwanga taa yangu; Yahwe Mungu wangu hutia mwanga giza langu.Tunalo hili neno la unabii lililothibitika, ambalo kwalo mwafanya vyema kulitekeleza. Ni kama taa ing'aayo gizani mpaka kuchapo na nyota za mawio zionekanazo katika mioyo yenu.taa yake ilipowaka kichwani pangu, na pale nilipotembea gizani kwa nuru yake.Maelekezo ya Yahwe ni ya hakika, yakiufanya moyo kuwa na furaha; amri ya Yahwe ni safi, ikileta mwanga kwenye macho yetu.Mambo yote, yanapofichuliwa na nuru, huwa wazi,Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki