Bible Explorer

Biblia › Zaburi › 117

ULB · Sura 117 / 150

Zaburi 117

1Msifuni Yahwe, enyi mataifa yote; enyi watu mhimidini yeye.

2Kwa kuwa uaminifu wa agano lake ni mkuu kwetu, na uaminifu wa Yahwe wadumu milele. Msifuni Yahwe.

Swahili Unlocked Literal Bible (ULB, 2019) · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 (maandiko bila mabadiliko; bila maelezo ya chini na vichwa) · eBible.org