Bible Explorer

Gundua › Injili kando kwa kando › Mafundisho

Injili kando kwa kando · Mafundisho

Sala ya Bwana

Mt 6:9–13 · Lk 11:2–4

Mathayo

Mt 6:9–13

9Hivyo basi omba hivi: Baba yetu uliye mbinguni, ulitukuze jina lako.

10Ufalme wako uje, mapenzi yako yafanyike hapa duniani kama huko mbinguni.

11Utupatiye leo mkate wetu wa kila siku.

12utusamehe deni zetu, kama nasi tunavyowasamehe wadeni wetu.

13Na usitulete katika majaribu, lakini utuepushe kutoka kwa yule mwovu.'

Luka

Lk 11:2–4

2Yesu akawaambia, Msalipo, semeni, 'Baba, Jina lako litakazwe. Ufalme wako uje.

3Utupe mkate wetu wa kila siku.

4Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe wote waliotukosea. Usituongoze katika majaribu.”

Yamewekwa alama: maneno yaliyo katika masimulizi yote, katika tafsiri unayosoma. Maneno ya kawaida zaidi (“na”, “yeye”) hayawekwi alama; neno katika umbo jingine huenda lisiwekwe.

Swahili Unlocked Literal Bible · Sambamba zimechaguliwa kwa mkono kutoka maandiko na kulinganishwa na marejeo ya OpenBible.info (CC BY). Kando kwa kando huwekwa tukio au neno lilelile tu. OpenBible.info · CC BY