Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Zaburi 37:4
Mstari wa Biblia · ULB
Zaburi 37:4
Kisha ufurahi mwenyewe katika Yahwe, naye atakupa matamanio ya moyo wako.
Katika muktadha
1Zaburi ya Daudi. Usikereshwe na wafanyao maovu; usiwaonee wivu wale watendao yasiyo haki.
2Kwa kuwa muda mfupi watakauka kama nyasi na kukauka kama vile mimea ya kijani ikaukavyo wakati wa kiangazi.
3Uwamini Mungu na kufanya yaliyo mema; uishi katika nchi na uongezeke katika imani.
4Kisha ufurahi mwenyewe katika Yahwe, naye atakupa matamanio ya moyo wako.
5Umkabidhi njia zako Yahwe; uamini katika yeye, naye atatenda kwa niaba yako.
6Yeye ataidhihilisha haki yako kama mchana na usafi wako kama mwangaza wa mchana.
7Uwe kumya mbele za Yahwe na umsubiri yeye kwa uvumilivu. Usikasirike ikiwa kuna mtu anafanikiwa kwa kile afanyacho, au afanyapo njama za uovu.
Kwa Kiingereza
Delight yourself in the LORD, and He will give you the desires of your heart.Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Ikiwa mtadumu ndani yangu, na kama maneno yangu yakidumu ndani yenu, ombeni lolote mtakalo, nanyi mtafanyiwa.Hutimiza haja za wale wanao mheshimu yeye; husikia kilio chao na kuwaokoa.Hamkunichagua mimi, bali mimi niliwachagua ninyi na kuwaweka mwende mazae matunda, na tunda lenu lipate kukaa. Hii liko hivi ili kwamba chochote muombacho kwa Baba kwa jina langu, atawapeni.''Halafu utapata furaha kwa Yahwe; na nitaifanya safari yako juu ya urefu wa nchi; Nitakulisha wewe kwenye urithi wa Yakobo baba yenu- maana mdomo wa Yahwe umezungumza.''Na huu ndio ujasiri tulionao mbele zake, kwamba kama tukiomba kitu chochote sawa sawa na mapenzi yake, hutusikia. Na kama tunajua kwamba hutusikia — chochote tumwombacho tunajua kwamba tunacho hicho tulichomwomba.Kwa kiongozi wa muziki. Zaburi ya Daudi. Mfalme anashangilia katika uweza wako, Yahwe! Ni kwa namna kuu anashangilia katika wokovu uliouleta! Wewe umempa yeye matamanio ya moyo wake na hauja mkatalia maombi midomo yake.Nawe utajifurahisha katika Mwenyezi; utamwangalia Mungu.Hamjamuona yeye, lakini mnampenda. Hamumuoni sasa, lakini mnaamini katika yeye na mna furaha isiyoweza kuelezeka kwa furaha ambayo imejawa na utukufu.Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki