Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Yohana 1:1
Mstari wa Biblia · ULB
Yohana 1:1
Mwanzoni kulikuwako Neno, na Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu.
Katika muktadha
1Mwanzoni kulikuwako Neno, na Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu.
2Huyu, Neno, Mwanzoni alikuwa pamoja na Mungu.
3Vitu vyote vilifanyika kupitia yeye, na pasipo yeye hakuna hata kitu kimoja kilichokuwa kimefanyika.
4Ndani yake kulikuwa uzima, na huo uzima ulikuwa nuru ya wanadamu wote.
Kwa Kiingereza
Berean Standard BibleJohn 1:1
In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Mwa 1:1
Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi.Yn 17:5
Sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja na wewe mwenyewe kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja na wewe kabla ya ulimwengu kuumbwa.Ufu 19:13
Amevaa vazi lililochovywa katika damu, na jina lake aliitwa Neno la Mungu.Kol 1:17
Yeye amekuwepo kabla ya vitu vyote, na katika yeye vitu vyote vinashikamana pamoja.Yn 1:14
Naye Neno alifanyika mwili na akaishi miongoni mwetu, tumeuona utukufu wake, utukufu kama wa mtu pekee wa kipekee aliyekuja kutoka kwa Baba, amejaa neema na kweli.1 Yoh 1:1–2
Kile kilichokuwapo tangu mwanzo-kile tulichokisikia, kile tulichokiona kwa macho yetu, kile tulichokitazama, na mikono yetu imekishika-kuhusu Neno la uzima. Na ule uzima ulifanywa kujulikana wazi, na tumeuona, na kuushuhudia, na kuwatangazia uzima wa milele, ambao ulikuwa kwa Baba na ulifanywa kujulikana kwetu.Ufu 22:13
Mimi ni Alfa na Omega, wa Kwanza na wa Mwisho, Mwanzo na Mwisho.Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki