Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Mithali 31:30
Mstari wa Biblia · ULB
Mithali 31:30
Madaha ni udanganyifu, uzuri ni ubatili; bali mwanamke amchaye Yehova, atasifiwa.
Katika muktadha
27Huangalia njia za nyumba yake na hawezi kula mkate wa uvivu.
28Watoto wake huinuka na kumwita heri na mume wake humsifia, akisema,
29“Wanawake wengi wamefanya vizuri, lakini wewe umewapita wote.”
30Madaha ni udanganyifu, uzuri ni ubatili; bali mwanamke amchaye Yehova, atasifiwa.
31Mpeni tunda la mikono yake na kazi zake zimsifu katika malango.
Kwa Kiingereza
Berean Standard BibleProverbs 31:30
Charm is deceptive and beauty is fleeting, but a woman who fears the LORD is to be praised.Marejeo mtambuka
Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.
Mit 1:7
Hofu ya Yehova ni chanzo cha maarifa- wapumbavu hudharau hekima na nidhamu.1 Pet 3:4–5
Lakini badala yake ifanyike kwa utu wa ndani wa moyo, na kuzidi katika uzuri wa unyenyekevu na utulivu wa moyo, ambao ni wa thamani mbele za Mungu. Kwa kuwa wanawake watakatifu walijipamba wenyewe kwa njia hii. Walikuwa na imani katika Mungu na waliwatii waume zao wenyewe.Mit 11:22
Kama pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe ndiyo alivyo mwanamke mzuri asiye na busara.Mit 8:13
Hofu ya Mungu ni kuchukia uovu- nachukia majivuno na kiburi, njia ya uovu, na kauli iliyopotoka- hivyo ninavichukia.1 Pet 1:24
Kwa maana “ miili yote ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la jani. Jani hunyauka, na ua hudondoka,1 Kor 4:5
Kwa hiyo, msitamke hukumu juu ya lolote kabla ya wakati, kabla ya kuja kwa Bwana. Atayaleta nuruni mambo yaliyofichika gizani na kufunua makusudi ya mioyo. Ndipo kila mmoja atapokea sifa yake kutoka kwa Mungu.Est 1:11–12
kumleta Malkia Vashiti akiwa katika mavazi yake ya kimalkia. Akiwa na lengo la kuwaonyesha watu na maakida urembo wake, maana alikuwa mrembo. Pamoja na maagizo ya Mfalme, Malkia Vashiti alikataa kwenda kama alivyokuwa amewaagiza viongozi wake. Hivyo mfalme akakasirika sana; ghadhabu yake ikawaka ndani yakeZab 147:11
Yahwe huridhia katika wale wanao muheshimu yeye, watumainio katika uaminifu wa agano lake.Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki