Bible Explorer

Gundua › Njia za safari › Safari ya Abrahamu

Njia za safari

Safari ya Abrahamu

Kutoka Uru hadi Kanaani · Vituo: 12 · ≈ 2,730 km kwa mistari iliyonyooka

1234578910

Vituo

  1. UrMwa 11:31Tera akamtwaa Abram mwanawe, Lutu mwana wa mwanawe Harani, na Sarai mkwewe, mke wa mwanawe Abram, na kwa pamoja wakatoka Ur wa Wakaldayo, kwenda katika nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani wakakaa pale.
  2. HaraniMwa 11:31Tera akamtwaa Abram mwanawe, Lutu mwana wa mwanawe Harani, na Sarai mkwewe, mke wa mwanawe Abram, na kwa pamoja wakatoka Ur wa Wakaldayo, kwenda katika nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani wakakaa pale.
  3. ShekemuMwa 12:6Abram akapitia katikati ya nchi hadi Shekemu, hadi mwaloni wa More. Wakati huo wakanaani waliishi katika nchi hiyo.
  4. BetheliMwa 12:8Kutoka pale akaenda kwenye nchi ya mlima mashariki mwa Betheli, ambapo alipiga hema yake, magaribi kukiwa na Betheli na mashariki kukiwa na mji wa Ai. Akajenga madhabahu ya Yahwe pale na kuliitia jina la Yahwe.
  5. MisriMwa 12:10Kulikuwa na njaa katika nchi, kwa hiyo Abram akaenda kukaa Misri, kwa kuwa njaa ilikua kali katika nchi.
  6. BetheliMwa 13:3Aliendelea na safari yake kutoka Negebu hadi Betheli, mahali ambapo hema yake ilikuwa tangu mwanzo, kati ya Betheli na mji wa Ai.
  7. HebroniMwa 13:18Kwa hiyo Abram akachukua hema yake, akaja na kukaa katika mwaloni wa Mamre, ambao uko Hebroni, na pale akajenga Madhabahu ya Yahwe.
  8. GerariMwa 20:1Abraham akasafiri kutoka pale hadi nchi ya Negebu, na akakaa kati ya Kadeshi na Shuri. Akawa mgeni akiishi Gerari.
  9. BeerishebaMwa 21:31Kwa hiyo akaita mahali pale Beerisheba, kwa sababu mahali pale wote wawili wali apa kiapo.
  10. MoriaMwa 22:2Kisha Mungu akasema, “Mchukue mwanao, mwanao wa pekee, umpendaye, Isaka, na uende katika nchi ya Moria. Mtoe kama sadaka ya kuteketezwa mahali pale juu ya moja ya milima hiyo, ambayo nitakwambia.”
  11. BeerishebaMwa 22:19Kwa hiyo Abraham akarejea kwa vijana wake, na wakaondoka wakaenda pamoja Beerisheba, hivyo akakaa Beerisheba.
  12. HebroniMwa 23:2Sara akafa katika Kiriathi Arba, ambayo ni Hebroni, katika nchi ya Kanaani. Abraham akaomboleza na kumlilia Sara.

Mistari inaunganisha vituo kwa mpangilio wa maandiko — njia zenyewe hazijulikani. Vistari: kwa meli. Hafifu: mahali hapajulikani kwa hakika.

Kila nukta ni mahali panapowezekana zaidi (OpenBible.info); nukta hafifu inamaanisha utambulisho hauna uhakika. Mahali pasipojulikana hapapo kwenye ramani.

Mahali: OpenBible.info Bible Geocoding Data (CC BY 4.0).

Mipaka ya nchi kavu: Natural Earth (mali ya umma).