Bible Explorer

Gundua › Njia za safari › Daudi akikimbia

Njia za safari

Daudi akikimbia

Akimkimbia Sauli, kisha mfalme Hebroni na Yerusalemu · Vituo: 13 · ≈ 420 km kwa mistari iliyonyooka

12345678910111213

Vituo

  1. Rama1 Sam 19:18Basi Daudi akakimbia na kutoroka, na akaenda kwa Samweli huko Rama na kumweleza yote ambayo Sauli amemtendea. Ndipo yeye na Samweli wakaenda na kukaa Nayothi.
  2. Nobu1 Sam 21:1Kisha Daudi akafika Nobu kumuona Ahimeleki kuhani. Ahimeleki akaja akutane na Daudi huku akitetemeka na kumwambia, “Kwa nini uko peke yako huna mtu wa kuambatana na wewe?”
  3. Gathi1 Sam 21:10Daudi aliamka na kukimbia mbali na Sauli na akaenda kwa Akishi, mfalme wa Gathi.
  4. Adulamu1 Sam 22:1Basi Daudi aliondoka hapo na akatoroka kwenda kwenye pango la Adulamu. Kaka zake na wote wa nyumba ya baba yake waliposikia hayo, wakateremka kumwendea huko.
  5. Mispa1 Sam 22:3Kisha Daudi alitoka huko akaenda Mispa huko Moabu. Akamwambia mfalme wa Moabu, “Tafadhali waruhusu baba na mama yangu wakae kwako hadi hapo nitakapojua kitu gani ambacho Mungu atafanya kwa ajili yangu.”
  6. Harethi1 Sam 22:5Kisha nabii Gadi akamwambia Daudi, “Usikae tena katika ngome yako. Ondoka na uende katika nchi ya Yuda.” Kwa hiyo Daudi akatoka hapo na akaenda katika msitu wa Harethi.
  7. Keila1 Sam 23:5Daudi na watu wake wakaenda Keila na kupigana na Wafilisti. Wakahamisha ng'ombe wao na kuwapiga kwa mauaji makubwa mno. Hivyo Daudi akawaokoa wenyeji wa Keila.
  8. Zifu1 Sam 23:14Daudi alikaa ngomeni katika jangwa, kwenye nchi ya milima katika jangwa la Zifu. Kila siku Sauli alimtafuta, lakini Mungu hakumweka mkononi mwake.
  9. Maoni1 Sam 23:24Ndipo wakaamka na kwenda hadi Zifu mbele ya Sauli. Wakati huo Daudi na watu wake walikuwa katika jangwa la Maoni, huko Araba upande wa kusini mwa Yeshimoni.
  10. Engedi1 Sam 23:29Daudi akapanda kutoka huko na kukaa katika ngome ya Engedi.
  11. Ziklagi1 Sam 27:6Hivyo siku hiyo Akishi akampa Daudi Ziklagi; ndiyo sababu mji wa Ziklagi ni mali ya wafalme wa Yuda hadi leo.
  12. Hebroni2 Sam 2:1Ikawa baada ya haya Daudi akamuuliza Yahwe, “Je naweza kuupandia mmojawapo wa miji ya Yuda?” Yahweh akamjibu, “Panda.” Daudi akauliza, “Niuendee mji upi? Yahwe akajibu, “Hebroni”
  13. Yerusalemu2 Sam 5:6Mfalme na watu wake wakaenda Yerusalemu kupigana na wayebusi, waliokuwa wenyeji wa nchi. Wakamwambia Daudi, “Hautaweza kuja hapa kwani hata wipofu na vilema waweza kukudhuia kuingia. Daudi haweze kuja hapa.”

Mistari inaunganisha vituo kwa mpangilio wa maandiko — njia zenyewe hazijulikani. Vistari: kwa meli. Hafifu: mahali hapajulikani kwa hakika.

Kila nukta ni mahali panapowezekana zaidi (OpenBible.info); nukta hafifu inamaanisha utambulisho hauna uhakika. Mahali pasipojulikana hapapo kwenye ramani.

Mahali: OpenBible.info Bible Geocoding Data (CC BY 4.0).

Mipaka ya nchi kavu: Natural Earth (mali ya umma).