Bible Explorer Pata programu

Gundua › Njia za safari › Vita vya Yoshua kusini

Njia za safari

Vita vya Yoshua kusini

Kutoka Gilgali hadi Gibeoni, Lakishi, Hebroni na Debiri · Vituo: 11 · ≈ 210 km kwa mistari iliyonyooka

KidroniGilgaliGibeoniBethi HoroniAzekaMakedaLibnaLakishiEgloniHebroniDebiri10 km12345678910

© OpenStreetMap contributors

Vituo

  1. GilgaliYos 10:7“Yoshua alipanda kutoka Giligali, yeye na watu wote wa vita pamoja naye, na watu wote wapiganaji.
  2. GibeoniYos 10:10Na Yahweh alichanganya maadui mbele za Israeli - ambao waliwaua mauaji makubwa mno huko Gibeoni, na wale waliowafuata njiani iendayo Bethi Horoni, nao waliuwaua katika njia iendayo Azeka na Makeda.
  3. Bethi HoroniYos 10:10Na Yahweh alichanganya maadui mbele za Israeli - ambao waliwaua mauaji makubwa mno huko Gibeoni, na wale waliowafuata njiani iendayo Bethi Horoni, nao waliuwaua katika njia iendayo Azeka na Makeda.
  4. AzekaYos 10:10Na Yahweh alichanganya maadui mbele za Israeli - ambao waliwaua mauaji makubwa mno huko Gibeoni, na wale waliowafuata njiani iendayo Bethi Horoni, nao waliuwaua katika njia iendayo Azeka na Makeda.
  5. MakedaYos 10:16Basi wale wafalme watano walikuwa wametoroka na kujificha wao wenyewe katika pango huko Makeda.
  6. LibnaYos 10:29Yoshua na Israeli wote waliipita Makeda na kufika Libna. Na huko waliingia katika vita dhidi ya Libna.
  7. LakishiYos 10:31Baadaye Yoshua na Israeli wote pamoja naye walipanda kutoka Libna na kwenda Lakishi. Alipiga kambi karibu yake na wakafanya vita dhidi yake.
  8. EgloniYos 10:34Baada ya hapo, Yoshua na Israeli wote walitoka Lakishi na kwenda Egloni. Walipiga kambi karibu yake na kisha wakafanya vita dhidi yake,
  9. HebroniYos 10:36Kisha Joshua na Israeli wote wakatoka Egloni na kwenda Hebroni. Wakainua vita dhidi yake.
  10. DebiriYos 10:38Baada ya hapo, Yoshua alirudi pamoja na jeshi lote la Israeli pamoja naye, wakasafiri kwenda Debiri na kufanya vita dhidi yake.
  11. GilgaliYos 10:43Baada ya hayo Yoshua na Waisraeli wote pamoja naye, walirudi katika kambi huko Gilgali.

Mistari inaunganisha vituo kwa mpangilio wa maandiko. Mahali mstari unafuata ardhi, ndiyo njia inayowezekana kama mtaalamu mmoja alivyoiunda upya; kwingine ni mnyoofu — njia haijulikani. Umbali ni mistari iliyonyooka kati ya vituo. Vistari: kwa meli. Hafifu: mahali hapajulikani kwa hakika.

Kila nukta ni mahali panapowezekana zaidi; nukta hafifu inamaanisha utambulisho hauna uhakika. Mahali pasipojulikana hapapo kwenye ramani.

Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · UBS Bible Routes, Dr Leen Ritmeyer © United Bible Societies 2023, CC BY-SA 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki