Bible Explorer

Gundua › Njia za safari › Safari za Eliya

Njia za safari

Safari za Eliya

Kutoka kijito Kerithi hadi Horebu na Yordani · Vituo: 13 · ≈ 1,210 km kwa mistari iliyonyooka

12345678910111213

Vituo

  1. Gileadi1 Fal 17:1Eliyas Mtishibi, kutoka Tishibi ya Gileadi, akamwambia Ahabu, “Kama BWANA, Mungu wa Israeli aishivyo, ambaye ninasimama, hakutakuwa na umande wala mvua isiipokuwa kwa neno langu.”
  2. Kerithi1 Fal 17:5Kwa hiyo Eliya akaenda kama neno la BWANA lilivyomwamuru. Akaenda kuishi karibu na kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yorodani.
  3. Sarepta1 Fal 17:10Kwa hiyo akainuka na akaenda Sarepta, na alipofika kwenye lango la mji, kulikuwa na mjane akiokota kuni. Kwa hiyo akamwita na akamwambia, “Tafadhali niletee maji kidogo kwenye jagi ninywe.”
  4. Mlima Karmeli1 Fal 18:20Kwa hiyo Ahabu akatuma neno kwa watu wote wa Israeli na akawakusanya manabii wote kwenye mlima Kameli.
  5. Kishoni1 Fal 18:40Kwa hiyo Eliya akawaambia, “Wakamateni manabii wa Baali. Msimwache hata mmoja wao atoroke.” Kwa hiyo wakawakamata, na Eliya akawaleta manabii wa Baali chini kwenye kijito cha Kishoni na akawaua huko.
  6. Yezreeli1 Fal 18:46lakini mkono wa BWANA ulikuwa juu ya Eliya. Akalikaza vazi lake kwa mshipi wake na akakimbia mbele ya Ahabu kwenye lango la Yezreeli.
  7. Beerisheba1 Fal 19:3Eliya aliposikia hayo, akaiinuka na akakimbia kwa ajili ya kuokoa maisha yake akaja mpaka Beerisheba, ambao ni mji wa Yuda, na akamwacha mtumishi wake huko.
  8. Horebu1 Fal 19:8Kwa hiyo akainuka na kula na kunywa, naye akasafiri kwa nguvu ya chakula hicho kwa siku arobaini mchana na usiku hata akafika Horebu, mlima wa Mungu.
  9. Dameskikufika hakuelezwi1 Fal 19:15Kisha BWANA akamwambia, “Nenda, rudi kwa njia yako kwenye jangwa la Dameski, na utakapofika utamtia mafuta Hazaeli awe Mfalme wa Shamu,
  10. Gilgali2 Fal 2:1Hivyo ilipokuja kuhusu, wakati Yahwe alipokuwa akienda kumchukua Eliya kwenda mbinguni kwa uvumi, ambapo Eliya aliondoka pamoja na Elisha kutoka Gigali.
  11. Betheli2 Fal 2:2Eliya akamwambia Elisha, '“kaa hapa, tafadhali, kwa sababu Yahwe alinituma kwa Betheli.'” Elisha akajibu, “Kama Yahwe aishivyo, na kama uishivyo, sintokuacha.'” Hivyo wakashuka chini kulekea Betheli.
  12. Yeriko2 Fal 2:4Eliya akamwambia, “Elisha, subiri hapa, tafadhali, kwa kuwa Yahwe amenituma niende Yeriko.” Kisha Elisha akajibu, '“Kama Yahwe aishivyo, na kama uishivyo, sintokuacha.” Hivyo wakaenda Yeriko.
  13. Yordani2 Fal 2:6Kisha Eliya akamwambia, '“kaa hapa, tafadhali, kwa kuwa Yahwe amenituma kwenda Yeriko.” Elisha akajibu, “Kama Yahwe ishivyo, na kama uishivyo, sintokuacha.” Hivyo wawili wakaenda mbele.

Mistari inaunganisha vituo kwa mpangilio wa maandiko — njia zenyewe hazijulikani. Vistari: kwa meli. Hafifu: mahali hapajulikani kwa hakika.

Nukta: mahali safari ilipokuwa ikielekea — maandiko hayasemi kwamba ilifika huko; mstari unaendelea kutoka kituo kilichotangulia.

Kila nukta ni mahali panapowezekana zaidi (OpenBible.info); nukta hafifu inamaanisha utambulisho hauna uhakika. Mahali pasipojulikana hapapo kwenye ramani.

Mahali: OpenBible.info Bible Geocoding Data (CC BY 4.0).

Mipaka ya nchi kavu: Natural Earth (mali ya umma).