Bible Explorer Pata programu

Mwanzo › Masomo ya Biblia ya kila siku › Mei 2027 › 19 Mei

Kalenda ya Kikatoliki

Masomo ya Misa (Kikatoliki) — 19 Mei 2027

Jumatano · Juma la 7 la Mwaka

Sikukuu na watakatifu

Jumatano ya Juma la 7 la Mwaka

Siku ya kawaida · Rangi ya liturujia: kijani

Masomo ya siku

Somo la kwanza

Haimo katika tafsiri hii

Wimbo wa katikati

Zab 119:165, 168, 171–172, 174–175

165Wana amani nyingi, waipendao sheria yako; hakuna cha kuwatia mashakani. 168Ninayashika maagizo yako na amri zako thabiti, kwa maana unajua kila kitu nifanyacho. 171Midomo yangu na imwage sifa, maana wewe unanifundisha sheria zako. 172Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako, maana amri zako zote ni za haki. 174Ninautamani wokovu wako, Yahwe, na sheria yako ni furaha yangu. 175Naomba niishi na nikusifu wewe, na amri zako za haki zinisaidie.

Injili

Mk 9:38–40

38Yohana alimwambia, “Mwalimu tulimwona mtu anatoa pepo kwa jina lako na tukamzuia, kwa sababu hatufuati.” 39Lakini Yesu alisema, “Msimzuie, kwa kuwa hakuna atakayefanya kazi kubwa kwa jina langu na ndipo baadaye aseme neno baya lolote juu yangu. 40Yeyote asiyekuwa kinyume nasi yuko upande wetu.

Watakatifu wa 19 Mei

Kalenda ya Jumla ya Kirumi; baraza la maaskofu linaweza kuhamisha baadhi ya maadhimisho (Epifania, Kupaa Bwana, Ekaristi Takatifu) hadi Jumapili au kuongeza yake. Kitabu cha masomo: mzunguko wa Jumapili B, mwaka wa siku za kazi I.

Vyanzo: Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki