Bible Explorer

Gundua › Wafalme na Mambo ya Nyakati kando kwa kando › Sulemani

Wafalme na Mambo ya Nyakati kando kwa kando · Sulemani

Kifo cha Sulemani

1 Fal 11:41–43 · 2 Nya 9:29–31

1 Wafalme

1 Fal 11:41–43

41Na kwa mambo mengine yanayomhusu Sulemani, Yote ambayo alifanya na hekima zake, je, hayakuandikwa katika kitabu cha matukio ya

42Sulemani? Sulemani alitawala Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini.

43Naye akalala na mababu zake na alizikwa katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu mwanae akawa mfalme mahali pake.

2 Mambo ya Nyakati

2 Nya 9:29–31

29Kwa mambo mengine kuhusu Selemani, mwanzo na mwisho, hayajandikwa katika Historia ya Nathani Nabii, katika unabii wa Abiya Mshinoni, na katika Maono ya Ido mwonaji wa mambo ya Yeroboamu mwana wa Nabati?

30Selemani akatawala katika Yerusalemu juu ya Israeli yote kwa miaka arobaini.

31Akalala na babu zake na watu wakamzika katika mji wa Daudi baba yake. Rehoboamu, mwanaye, akawa mfalme katika sehemu yake.

Yamewekwa alama: maneno yaliyo katika masimulizi yote, katika tafsiri unayosoma. Maneno ya kawaida zaidi (“na”, “yeye”) hayawekwi alama; neno katika umbo jingine huenda lisiwekwe.

Swahili Unlocked Literal Bible · Sambamba zimechaguliwa kwa mkono kutoka maandiko na kulinganishwa na marejeo ya OpenBible.info (CC BY). Kando kwa kando huwekwa tukio au neno lilelile tu. OpenBible.info · CC BY