Bible Explorer Pata programu

Mwanzo › Mistari maarufu ya Biblia › Waebrania 13:8

Mstari wa Biblia · ULB

Waebrania 13:8

Yesu Kristo ni yeye jana, leo, na ata milele.

Soma sura nzima: Waebrania 13

Katika muktadha

5Basi njia zenu za maisha ziwe huru katika upendo wa pesa. Muwe wanoridhika na vitu mulivyonavyo, kwani Mungu mwenyewe alisema, “Sitawaacha ninyi kamwe, wala kuwatelekeza ninyi.”

6Basi tulidhikeni ili tusema kwa ujasiri, “Bawa ni msaidizi wangu; Sitaogopa. Mwanadamu aweza kunifanya nini?”

7Wafikirieni wale walio waongoza, wale waliongea neno la Mungu kwenu, na kumbukeni matokeo ya mienendo yao; igeni imani zao.

8Yesu Kristo ni yeye jana, leo, na ata milele.

9Usije ukaongozwa na mafundisho mbalimbali ya kigeni kwani ni vizuri kwamba moyo ujengwe kwa neema, na siyo kwa sheria kuhusu chakula hayo hayatawasaidia wale wanaoishi kwa hayo.

10Tunayo madhabau ambayo wale wanaotumika ndani ya hekalu hawana haki ya kula.

11Kwa kuwa damu za wanyama, zilizotolewa dhabihu kwa ajili ya dhambi, ililetwa na kuhani mkuu ndani ya sehemu takatifu, lakini miili yao ilichomwa nje ya kambi.

Waebrania 13

Kwa Kiingereza

Berean Standard BibleHebrews 13:8Jesus Christ is the same yesterday and today and forever.

Marejeo mtambuka

Vifungu ambavyo wasomaji huviunganisha na hiki mara nyingi zaidi.

Mal 3:6Mimi Bwana, sibadiliki; pia ninyi, watu wa Yakobo, hamkutumia.
Yak 1:17Kila zawadi iliyo nzuri na kila zawadi iliyokamilika hutoka juu, hushuka chini kutoka kwa Baba wa nuru. Kamwe habadiliki kama kivuli kibadilikavyo.
Ufu 1:8“Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mungu, “Yeye aliyepo, na aliyekuwepo, na ambaye anakuja, Mwenye nguvu.”
Ebr 1:12Utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilika kama vazi. Lakini wewe ni yuleyule, na miaka yako haitakoma.”
Isa 44:6Yahwe asema hivi—Mfalme wa Israeli na Mkombozi wake, Yahwe wa majeshi: ''Mimi ni mwanzo na ni mwisho; na hakuna mungu ila mimi.
Zab 102:27–28Lakini wewe ni yuleyule, na miaka yako haitakuwa na mwisho. Watoto wa watumishi wako wataendelea kuishi, na uzao wao utaishi katika uwepo wako.
Zab 90:2Kabla milima haijaumbwa, wala haujaumba nchi na dunia, tangu milele na milele, wewe ni Mungu.
Zab 103:17Lakini agano la uaminifu wa Yahwe uko kwa wale wamchao yeye milele hata milele. Haki yake ni endelevu kwa uzao wao.

Vyanzo: OpenBible.info, CC BY 4.0 · Swahili Unlocked Literal Bible · © Door43 World Missions Community, CC BY-SA 4.0 · Vyanzo na haki