Bible Explorer

Gundua › Njia za safari › Safari za Yesu katika Luka

Njia za safari

Safari za Yesu katika Luka

Kutoka Yordani hadi Yerusalemu, Emmau na Bethania, kwa mpangilio wa Luka · Vituo: 14 · ≈ 420 km kwa mistari iliyonyooka

12346789101112

Injili hazisimulii safari za Yesu zote kwa mpangilio uleule. Njia hii inafuata Injili moja tu na haiichanganyi na nyingine.

Mistari inaunganisha vituo kwa mpangilio wa maandiko — njia zenyewe hazijulikani. Vistari: kwa meli. Hafifu: mahali hapajulikani kwa hakika.

Vituo

  1. YordaniLk 4:1Kisha, Yesu akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Mto Jordani, na aliongozwa na Roho jangwani
  2. NazaretiLk 4:16Siku moja alikwenda Nazareti, mji ambao alilelewa na kukulia. Kama ilivyokuwa desturi yake aliingia kwenye sinagogi siku ya sabato, na alisimama kusoma maandiko.
  3. KapernaumuLk 4:31Kisha alitelemkia Kapernaumu, katika mji wa Galilaya. Sabato moja alikuwa akifundisha watu ndani ya sinagogi.
  4. GenesaretiLk 5:1Basi ilitokea wakati watu walipomkusanyikia na kumzunguka Yesu na kusikiliza neno la Mungu, ambapo alikuwa amesimama kando ya ziwa Genesareti.
  5. KapernaumuLk 7:1Baada ya Yesu kumaliza kila kitu alichokuwa anasema kwa watu waliomsikiliza, akaingia Kapernaumu.
  6. NainiLk 7:11fulani baada ya haya, ilitokea kuwa Yesu alikuwa anasafiri kwenda mji ulioitwa Naini. wanafunzi wake wakaenda pamoja naye wakiambana na umati wa watu.
  7. BethsaidaLk 9:10Wakati waliporudi wale waliotumwa, wakamwamwambia kila kitu walicho fanya. Akawachukua pamoja naye, akaenda peke yake katika mji uitwao Bethsadia.
  8. YerikoLk 19:1Yesu aliingia na kupita katikati ya Yeriko.
  9. BethaniaLk 19:29Ikawa alipokaribia Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili,
  10. YerusalemuLk 23:7Alipotambua kuwa alikuwa chini ya utawala wa Herode, akampeleka Yesu kwa Herode, ambaye naye alikuwa Yerusalemu kwa siku hizo.
  11. Fuvu la KichwaLk 23:33Walipofika mahali paitwapo Fuvu la kichwa, ndipo wakamsulubisha pamoja na wale wahalifu, mmoja upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto.
  12. EmmauLk 24:13Na tazama, wawili miongoni mwao walikuwa wakienda siku hiyo hiyo katika kijiji kimoja kiitwacho Emmau, ambacho kilikuwa maili sitini kutoka Yerusalemu.
  13. YerusalemuLk 24:33Wakanyanyuka saa hiyo hiyo, na kurudi Yerusalemu. Wakawakuta wale kumi na mmoja wamekusanyika pamoja, na wale waliokuwa pamoja nao,
  14. BethaniaLk 24:50Kisha Yesu akawaongoza nje mpaka walipokaribia Bethania. Akainua mikono yake juu, na akawabariki.

Kila nukta ni mahali panapowezekana zaidi (OpenBible.info); nukta hafifu inamaanisha utambulisho hauna uhakika. Mahali pasipojulikana hapapo kwenye ramani.

Barabara za Kirumi: barabara za Dola la Kirumi za karibu 300 KK – 300 BK kwa mujibu wa atlasi ya Itiner-e; mistari ya vipande — barabara ambazo atlasi inaziona kuwa za kukisiwa. Maandiko hayasemi ni barabara ipi hasa iliyotumika.

Mahali: OpenBible.info Bible Geocoding Data (CC BY 4.0).

Mipaka ya nchi kavu: Natural Earth (mali ya umma).

Barabara za Kirumi: Itiner-e, atlasi ya kidijitali ya barabara za kale © 2024 Brughmans, Pažout, de Soto na Bjerregaard Vahlstrup, Itiner-e · CC BY 4.0